Mathayo 2:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Akawapeleka Bethlehemu, akasema, Shikeni njia, mkahoji sana mambo ya mtoto; mkiisha kumwona, nileteeni khabari, illi nami nije nimsujudie. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Kisha akawatuma Bethlehemu akisema, “Nendeni mkachunguze kwa makini habari za mtoto huyo. Mkisha mpata nileteeni habari ili nami niende kumwabudu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Kisha akawatuma Bethlehemu akisema, “Nendeni mkachunguze kwa makini habari za mtoto huyo. Mkisha mpata nileteeni habari ili nami niende kumwabudu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Kisha akawatuma Bethlehemu akisema, “Nendeni mkachunguze kwa makini habari za mtoto huyo. Mkisha mpata nileteeni habari ili nami niende kumwabudu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kisha akawatuma Bethlehemu na kuwaambia, “Nendeni mkamtafute mtoto huyo kwa makini. Mara tu mtakapompata, nileteeni taarifa ili nami niende kumwabudu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kisha akawatuma waende Bethlehemu akiwaambia, “Nendeni mkamtafute kwa bidii huyo mtoto. Nanyi mara mtakapomwona, mniletee habari ili na mimi niweze kwenda kumwabudu.” Tazama sura |