Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 2:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Nao wakamwambia, Katika Bethlehemu ya Yahudi; kwa maana ndivyo ilivyoandikwa na nabii,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Nao wakamjibu, “Mjini Bethlehemu, mkoani Yudea. Ndivyo nabii alivyoandika:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Nao wakamjibu, “Mjini Bethlehemu, mkoani Yudea. Ndivyo nabii alivyoandika:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Nao wakamjibu, “Mjini Bethlehemu, mkoani Yudea. Ndivyo nabii alivyoandika:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Nao wakamwambia, “Katika Bethlehemu ya Yudea, kwa maana hivyo ndivyo ilivyoandikwa na nabii:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Nao wakamwambia, “Katika Bethlehemu ya Uyahudi, kwa maana hivyo ndivyo ilivyoandikwa na nabii:

Tazama sura Nakili




Mathayo 2:5
11 Marejeleo ya Msalaba  

ALIPOZALIWA Yesu katika Bethlehemu ya Yahudi zamani za mfalme Herode, majusi wa mashariki walifika Yerusalemi,


Akakusanya makuhani wakuu wote na waandishi wa watu, akatafuta khabari kwao, Kristo azaliwa wapi?


Andiko halikusema ya kwamba Kristo atoka katika uzao wa Daud, na kutoka Bethlehemu, kijiji kile alichokaa Daud?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo