Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 2:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake, akatika inchi ya Israeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Basi, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea nchini Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Basi, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea nchini Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Basi, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akarejea nchini Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Basi Yusufu, akainuka, akamchukua mtoto na mama yake wakaenda hadi nchi ya Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Basi Yusufu, akaondoka akamchukua mtoto na mama yake wakaenda mpaka nchi ya Israeli.

Tazama sura Nakili




Mathayo 2:21
4 Marejeleo ya Msalaba  

Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ushike njia kwenda inchi ya Israeli: kwa maana wamekufa walioilafuta roho ya mtoto.


Lakini aliposikia ya kwamba Arkelao anamiliki Yahudi mahali pa Herode baba yake, akaogopa kwenda huko; akaonywa katika ndoto, akaenda zake hatta pande za Galilaya,


Kwa imani Ibrahimu alipoitwa aliitika, akatoka aende hatta mahali pale atakapopapata kuwa urithi; akatoka asijue aendako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo