Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 2:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ushike njia kwenda inchi ya Israeli: kwa maana wamekufa walioilafuta roho ya mtoto.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 akamwambia, “Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika nchi ya Israeli, maana wale waliotaka kumuua mtoto huyo wamekwisha kufa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 akamwambia, “Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika nchi ya Israeli, maana wale waliotaka kumuua mtoto huyo wamekwisha kufa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 akamwambia, “Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika nchi ya Israeli, maana wale waliotaka kumuua mtoto huyo wamekwisha kufa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 na kusema, “Ondoka, mchukue mtoto na mama yake mwende, mrudi katika nchi ya Israeli kwa sababu wale waliokuwa wakijaribu kumuua mtoto wamekufa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 na kusema, “Ondoka, mchukue mtoto na mama yake mwende, mrudi katika nchi ya Israeli kwa sababu wale waliokuwa wanatafuta uhai wa mtoto wamekufa.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 2:20
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawo walipokwisha kwenda zao, malaika wu Bwami akamtokea Yusuf katika ndoto, akiuena, Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukakae huko mpaka nikuambiapo; kwa maana Herode anataka kumtafuta mtoto amwangamize.

Hatta alipofariki Herode, malaika wa Bwana akamtokea Yusuf katika ndoto huko Misri, akinena,

Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake, akatika inchi ya Israeli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo