Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 2:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Hatta alipofariki Herode, malaika wa Bwana akamtokea Yusuf katika ndoto huko Misri, akinena,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Baada ya kifo cha Herode, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto kule Misri,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Baada ya kifo cha Herode, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto kule Misri,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Baada ya kifo cha Herode, malaika wa Bwana alimtokea Yosefu katika ndoto kule Misri,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Baada ya Herode kufa, malaika wa Mwenyezi Mungu akamtokea Yusufu katika ndoto huko Misri

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Baada ya Herode kufa, malaika wa Mwenyezi Mungu akamtokea Yusufu katika ndoto huko Misri

Tazama sura Nakili

Mathayo 2:19
13 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokuwa akifikiri haya, malaika wa Bwana akamtokea katika udoto, akisema, Yusuf, mwana wa Daud, usikhofu kumchukua Mariamu mke wako, maana mimba yake ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ushike njia kwenda inchi ya Israeli: kwa maana wamekufa walioilafuta roho ya mtoto.

Lakini aliposikia ya kwamba Arkelao anamiliki Yahudi mahali pa Herode baba yake, akaogopa kwenda huko; akaonywa katika ndoto, akaenda zake hatta pande za Galilaya,

Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki: kwa sababu nimeteswa mengi leo katika udoto kwa ajili yake.

lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo