Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 2:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Sauti ilisikiwa Rama, Kilio, na kulalama, na maombolezo, Rahel akiwalilia watoto wake, Asikubali kufarijiwa, maana hawako.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 “Sauti imesikika huko Rama, kilio na maombolezo mengi. Raheli anawalilia watoto wake, wala hataki kutulizwa, maana wote wamefariki.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 “Sauti imesikika huko Rama, kilio na maombolezo mengi. Raheli anawalilia watoto wake, wala hataki kutulizwa, maana wote wamefariki.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 “Sauti imesikika huko Rama, kilio na maombolezo mengi. Raheli anawalilia watoto wake, wala hataki kutulizwa, maana wote wamefariki.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 “Sauti ilisikika huko Rama, maombolezo na kilio kikubwa, Raheli akilia kwa ajili ya wanawe, akikataa kufarijiwa, kwa sababu hawako tena.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 “Sauti ilisikika huko Rama, maombolezo na kilio kikubwa, Raheli akilia kwa ajili ya wanawe, akikataa kufarijiwa, kwa sababu hawako tena.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 2:18
12 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema,

Akasema, Msilie; kwa maana hakufa, bali amelala usingizi.

Nikaona, nikasikia tai akiruka kati kati ya mbingu, akisema kwa sauti kuu, Ole, ole, ole wao wakaao juu ya inchi, kwa sababu ya sauti zisaliazo za baragumu ya malaika watatu, walio tayari kupiga.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo