Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 2:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake hatta Misri;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Hivyo, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akaondoka usiku, akaenda Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Hivyo, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akaondoka usiku, akaenda Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Hivyo, Yosefu aliamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake, akaondoka usiku, akaenda Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kisha Yusufu akaamka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake wakati wa usiku, nao wakaenda Misri,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kisha Yusufu akaondoka, akamchukua mtoto pamoja na mama yake wakati wa usiku, nao wakaenda Misri

Tazama sura Nakili




Mathayo 2:14
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yusuf alipoamka katika usingizi, akatenda kama malaika wa Bwana alivyomwagiza;


Na hawo walipokwisha kwenda zao, malaika wu Bwami akamtokea Yusuf katika ndoto, akiuena, Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukakae huko mpaka nikuambiapo; kwa maana Herode anataka kumtafuta mtoto amwangamize.


akawa huko mpaka alipokufa Herode: illi litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema, Kutoka Misri nalimwita mwaua wangu.


Wakamwendea, wakamwamsha, wakisema, Mwalimu, Mwalimu, tunaangamia. Akaondoka, akaukemea upepo, na msukosuko wa maji, vikakoma, kukawa shwari.


Kwa sababu ya hayo Wayahudi wakanikamata ndani ya hekalu wakajaribu kuniua.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo