Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 19:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Akawaambia, Musa kwa sabau ya ugumu wa mioyo yenu aliwapeni ruksa kuwaacha wake zenu: lakini langu mwanzo haikuwa hivi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Isa akawajibu, “Musa aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. Lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Isa akawajibu, “Musa aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. Lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo.

Tazama sura Nakili

Mathayo 19:8
14 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwambia, Jinsi gani bassi Musa aliamuru kumpa khati ya talaka, na kumwacha?

Nami nawaambia ninyi, Killa mtu atakaemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya asharati, akaoa mwingine, azini; nae amwoae yule aliyeachwa azini.

Yesu akajibu, akamwambia, Hayo yaache sasa: kwa kuwa hivi imetupasa kutimiza haki yote. Bassi akamwacha.

Pepo wakamsihi, wakinena, Ukitufukuza, tuache twende, tukaingie katika kundi la nguruwe.

Yesu akawaambia, Kwa sababu ya ugumu wa mioyo yemi aliwaandikia amri hii.

Baadae akaonekana na wale edashara walipokuwa wakila, akawalaumu kwa kutoamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki waliomwona alipofufuka.

Lakini nasema haya, nikitoa idhini yangu; sitoi amri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo