Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 19:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Wakamwambia, Jinsi gani bassi Musa aliamuru kumpa khati ya talaka, na kumwacha?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Lakini wao wakamwuliza, “Kwa nini basi, Mose alituagiza mwanamke apewe hati ya talaka na kuachwa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Lakini wao wakamwuliza, “Kwa nini basi, Mose alituagiza mwanamke apewe hati ya talaka na kuachwa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Lakini wao wakamwuliza, “Kwa nini basi, Mose alituagiza mwanamke apewe hati ya talaka na kuachwa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wakamuuliza, “Kwa nini basi Musa aliagiza mtu kumpa mkewe hati ya talaka na kumwacha?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wakamuuliza, “Kwa nini basi Musa aliagiza mtu kumpa mkewe hati ya talaka na kumwacha?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 19:7
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nae Yusuf, mumewe, kwa kuwa mtu wa haki, asitake kumwaibisha, aliazimu kumwacha kwa siri.

Hatta wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Bassi alivyoviunganisha, Mungu, mwana Adamu asivitenganishe.

Akawaambia, Musa kwa sabau ya ugumu wa mioyo yenu aliwapeni ruksa kuwaacha wake zenu: lakini langu mwanzo haikuwa hivi.

Waliambiwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe khati ya talaka;

Wakasema, Musa alitoa rukhusa kuandika khati ya talaka na kumwacha.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo