Mathayo 19:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Hatta wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Bassi alivyoviunganisha, Mungu, mwana Adamu asivitenganishe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hivyo si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hivyo si wawili tena, bali mwili mmoja. Kwa hiyo alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.” Tazama sura |