Mathayo 19:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 akasema. Kwa sababu hii, mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe; na hawo wawili watakuwa mwili mmoja? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 na akasema: ‘Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 naye akasema, ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 naye akasema, ‘Kwa sababu hii mwanaume atamwacha baba yake na mama yake, naye ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja’? Tazama sura |