Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 19:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Yesu akawatazama, akawaambia, Kwa wana Adamu hili haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Yesu akawatazama, akasema, “Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu mambo yote huwezekana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Yesu akawatazama, akasema, “Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu mambo yote huwezekana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Yesu akawatazama, akasema, “Kwa binadamu jambo hili haliwezekani, lakini kwa Mungu mambo yote huwezekana.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Lakini Isa akawatazama, akawaambia, “Kwa mwanadamu jambo hili haliwezekani, lakini mambo yote yanawezekana kwa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Lakini Isa akawatazama, akawaambia, “Kwa mwanadamu jambo hili haliwezekani, lakini mambo yote yanawezekana kwa Mungu.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 19:26
16 Marejeleo ya Msalaba  

Wanafunzi wake waliposikia, wakashangaa sana, wakinena, Nani bassi awezae kuokoka?

Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata: tutapata nini bassi?

Yesu akawakazia macho, akanena, Kwa wana Adamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu.

kwa maana hapana neno lisilowezekana kwa Mungu.

Akasema, Yasiyowezekana kwa wana Adamu, yawezekana kwa Mungu.

wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hatta wakatubu; kwa kuwa wamsulibisha Mwana wa Mungu marra ya pili kwa nafsi zao, na kumfedhehi kwa dhahiri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo