Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 19:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Wanafunzi wake waliposikia, wakashangaa sana, wakinena, Nani bassi awezae kuokoka?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa sana, wakamwuliza, “Ni nani basi, awezaye kuokoka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa sana, wakamwuliza, “Ni nani basi, awezaye kuokoka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Wale wanafunzi waliposikia hivyo walishangaa sana, wakamwuliza, “Ni nani basi, awezaye kuokoka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Wanafunzi wake waliposikia haya, walishangaa sana na kuuliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Wanafunzi wake waliposikia haya, walishangaa sana na kuuliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 19:25
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nawaambieni tena, Ni rakhisi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.

Yesu akawatazama, akawaambia, Kwa wana Adamu hili haliwezekani; bali kwa Mungu yote yawezekana.

Na kama siku zile zisingalikatizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitakatizwa siku zile.

Na kama Bwana asingalizikatiza siku zile, asingeokoka mtu aliye yote; lakini kwa ajili ya wateule aliowateua amezikatiza siku zile.

kwa kuwa killa atakaemwita Bwana kwa Jina lake ataokoka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo