Mathayo 19:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Akamwambia, Zipi? Yesu akasema, Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudu uwongo, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Yule mtu akamwuliza, “Amri zipi?” Yesu akasema, “Usiue, Usizini, Usiibe, Usitoe ushahidi wa uongo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Yule mtu akamwuliza, “Amri zipi?” Yesu akasema, “Usiue, Usizini, Usiibe, Usitoe ushahidi wa uongo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Yule mtu akamwuliza, “Amri zipi?” Yesu akasema, “Usiue, Usizini, Usiibe, Usitoe ushahidi wa uongo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Yule mtu akamuuliza, “Amri zipi?” Isa akamjibu, “Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Yule mtu akamuuliza, “Amri zipi?” Isa akamjibu, “Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, Tazama sura |