Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 19:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Lakini Yesu akasema, Waacheni vitoto, wala msiwakataze kuja kwangu; kwa maana walio mfano wa hawo, ufalme wa mbinguni ni wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Yesu akasema, “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie; maana ufalme wa mbinguni ni wa watu walio kama watoto hawa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Yesu akasema, “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie; maana ufalme wa mbinguni ni wa watu walio kama watoto hawa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Yesu akasema, “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie; maana ufalme wa mbinguni ni wa watu walio kama watoto hawa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Isa akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana ufalme wa mbinguni ni wa wale walio kama hawa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Isa akasema, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mbinguni ni wa wale walio kama hawa.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 19:14
18 Marejeleo ya Msalaba  

Wakati ule Yesu akajibu akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na inchi, kwa kuwa uliwaficha haya wenye hekima na busara, ukawafunulia wadogo:


akasema, Amin, nawaambieni, Msipoongoka na kuwa kama vitoto, hamtaingia kabisa katika ufalme wa mbinguni.


Akaweka mikono yake juu yao, akatoka huko.


Wa kheri wateswao kwa ajili ya haki: maana ufalme wa mbinguni ni wao.


Wa kheri walio maskini wa roho; maana ufalme wa mbinguni ni wao.


Lakini Yesu alipoona akachukiwa sana, akawaambia, Waacheni watoto wachanga waje kwangu, msiwazuie; kwa maana watoto kama hawo ufalme wa mbinguni ni wao.


Amin, nawaambieni, Yeye yote asiyeukubali nfalme wa Mungu kama mtoto mchanga hatauingia kabisa.


Ndugu, msiwe watoto katika akili zenu; illakini katika uovu mwe watoto wachanga, bali katika akili zenu mwe watu wazima.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo