Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 19:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Ndipo akaletewa vitoto aweke mikono yake juu yao na kuwaombea; wanafunzi wake wakawakemea.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kisha watu wakamletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono na kuwaombea. Lakini wanafunzi wakawakemea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kisha watu wakamletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono na kuwaombea. Lakini wanafunzi wakawakemea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kisha watu wakamletea Yesu watoto wadogo ili awawekee mikono na kuwaombea. Lakini wanafunzi wakawakemea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kisha watoto wadogo wakaletwa kwa Isa ili aweke mikono yake juu yao na awaombee. Lakini wanafunzi wake wakawakemea wale waliowaleta.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kisha watoto wadogo wakaletwa kwa Isa ili aweke mikono yake juu yao na awaombee. Lakini wanafunzi wake wakawakemea wale waliowaleta.

Tazama sura Nakili

Mathayo 19:13
15 Marejeleo ya Msalaba  

Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akinena, Hasha, Bwana, haya hayatakupata.

Maana wako matawashi waliozaliwa katika hali hii toka matumboni mwa mama zao; teua wako matawashi waliofanywa kuwa matawashi na watu: tena wako matawashi waliojifanya kuwa matawashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezae kulipokea neno hili, na alipokee.

Makutano wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaaza sauti zao, wakinena, Uturehemu, Ee Bwana, mwana wa Daud!

Kwa kuwa ahadi hii ni kwa ajili yenu, na watoto wenu, na watu wote walio mbali, na wote watakaoitwa na Bwana Mungu wetu.

Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa kwa mkewe; na yule mke asiyeamini hutakaswa kwa mumewe; kama isingekuwa bivyo, watoto wenu wangekuwa si safi; bali sasa ni watakatifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo