Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 19:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, illa wale waliojaliwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Yesu akawaambia, “Si wote wanaoweza kulipokea fundisho hili, isipokuwa tu wale waliojaliwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Yesu akawaambia, “Si wote wanaoweza kulipokea fundisho hili, isipokuwa tu wale waliojaliwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Yesu akawaambia, “Si wote wanaoweza kulipokea fundisho hili, isipokuwa tu wale waliojaliwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Isa akawaambia, “Si watu wote wanaoweza kupokea neno hili, isipokuwa wale tu waliojaliwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Isa akawaambia, “Si watu wote wanaoweza kupokea neno hili, isipokuwa wale tu waliojaliwa na Mungu.

Tazama sura Nakili

Mathayo 19:11
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wale hawakujaliwa.

Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa liivi, haifai kuoa.

Maana wako matawashi waliozaliwa katika hali hii toka matumboni mwa mama zao; teua wako matawashi waliofanywa kuwa matawashi na watu: tena wako matawashi waliojifanya kuwa matawashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezae kulipokea neno hili, na alipokee.

Lakini Mungu alivyomgawia killa mtu—kama Mungu alivyomwita killa mtu, na aenende vivyo hivyo. Na ndivyo ninavyoagiza katika Makanisa yote.

Lakini kwa sababu ya mambo ya zina killa mtu na awe na mke wake mwenyewe, na killa mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

Nasema haya niwafaidie; si kwamba niwategee tanzi, bali kwa ajili ya vile vipendezavyo, na mpate kumkhudumia Bwana pasipo kuvutwa na mambo mengine.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo