Mathayo 19:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa liivi, haifai kuoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Ikiwa mambo ya mume na mkewe ni hivyo, ni afadhali kutooa kabisa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Ikiwa mambo ya mume na mkewe ni hivyo, ni afadhali kutooa kabisa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Ikiwa mambo ya mume na mkewe ni hivyo, ni afadhali kutooa kabisa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Kama hali ndiyo hii kati ya mume na mke, ni afadhali mtu asioe!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Kama hali ndiyo hii kati ya mume na mke, ni afadhali mtu asioe!” Tazama sura |