Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 19:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 IKAWA Yesu alipomaliza maneno haya, akatoka Galilaya akafika mipaka ya Yahudi, ngʼambu ya Yordani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ngambo ya mto Yordani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ngambo ya mto Yordani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka Galilaya, akaenda Yudea, ng'ambo ya mto Yordani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Isa alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Yudea, ng’ambo ya Yordani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Isa alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Uyahudi, ng’ambo ya Mto Yordani.

Tazama sura Nakili




Mathayo 19:1
5 Marejeleo ya Msalaba  

ALIPOZALIWA Yesu katika Bethlehemu ya Yahudi zamani za mfalme Herode, majusi wa mashariki walifika Yerusalemi,


Ikawa, Yesu alipomaliza maneno haya, makutano wakashangaa kwa mafundisho yake:


Akaenda zake tena ngʼambu ya Yardani, hatta pahali ptile alipokuwa Yohana akihatiza hapo kwanza; akakaa huko. Watu wengi wakamwendea, wakanena,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo