Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 18:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Bwana wake akaghadhabika, akampeleka kwa watesaji, hatta atakapoilipa deni ile yote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 “Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 “Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 “Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe hadi atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe mpaka atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 18:34
8 Marejeleo ya Msalaba  

Nae hakutaka, akaenda, akamtupa kifungoni, hatta atakapoilipa ile deni.


nawe, je, haikukupasa kumrehemu mjoli wako, kama mimi nilivyokurehemu wewe?


Vivyo hivyo na Baba yangu wa mbinguni atawatenda ninyi, kama ninyi kwa mioyo yenu hamkusamehe killa mtu ndugu yake makosa yake.


Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Na huruma hujitukuza juu ya hukumu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo