Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 18:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Bassi mjoli wake akaanguka miguuni pake, akamsihi, akinena, Niwie kwa saburi, nami nitakulipa vyote pia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Huyo mtumishi mwenzake akapiga magoti, akamwomba, ‘Unisubiri nami nitakulipa’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Huyo mtumishi mwenzake akapiga magoti, akamwomba, ‘Unisubiri nami nitakulipa’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Huyo mtumishi mwenzake akapiga magoti, akamwomba, ‘Unisubiri nami nitakulipa’.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 “Yule mtumishi mwenzake akapiga magoti akamsihi akisema, ‘Naomba univumilie, nami nitakulipa deni lako lote.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 “Yule mtumishi mwenzake akapiga magoti akamsihi akisema, ‘Naomba univumilie, nami nitakulipa deni lako lote.’

Tazama sura Nakili

Mathayo 18:29
8 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi yule mtumishi akaanguka, akamsujudia akinena, Bwana, niwie kwa saburi, nami nitakulipa vyote pia.

Mtumishi yule akatoka, akamwona mmoja wa wajoli wake, aliyewiwa nae dinari mia; akamkamata, akamshika koo, akinena, Nilipe uwiwacho.

Nae hakutaka, akaenda, akamtupa kifungoni, hatta atakapoilipa ile deni.

nawe, je, haikukupasa kumrehemu mjoli wako, kama mimi nilivyokurehemu wewe?

Utusamehe deni zetu, kama sisi tunavyowasamehe wadeni wetu.

kama mlivyofundishwa na Epafra mjoli wetu mpenzi, aliye mkhudumu amini wa Kristo kwa ajili yenu;

Tukiko, ndugu mpendwa, mtumishi mwaminifu, mjoli wangu katika Bwana, atawaarifu mambo yangu yote;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo