Mathayo 18:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192127 Bwana wa mtumishi yule akamhurumia, akamfungua, akamsamehe ile deni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Yule bwana alimwonea huruma, akamsamehe lile deni, akamwacha aende zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Yule bwana alimwonea huruma, akamsamehe lile deni, akamwacha aende zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Yule bwana alimwonea huruma, akamsamehe lile deni, akamwacha aende zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Yule bwana wa huyo mtumishi akamwonea huruma, akafuta deni lake lote, akamwacha aende zake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Yule bwana wa huyo mtumishi akamwonea huruma, akafuta deni lake lote, akamwacha aende zake. Tazama sura |