Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 18:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Bassi yule mtumishi akaanguka, akamsujudia akinena, Bwana, niwie kwa saburi, nami nitakulipa vyote pia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Basi, huyo mtumishi akapiga magoti mbele yake, akasema, ‘Unisubiri nami nitakulipa deni lote’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Basi, huyo mtumishi akapiga magoti mbele yake, akasema, ‘Unisubiri nami nitakulipa deni lote’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Basi, huyo mtumishi akapiga magoti mbele yake, akasema, ‘Unisubiri nami nitakulipa deni lote’.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 “Yule mtumishi akampigia magoti, akamsihi yule bwana akisema, ‘Naomba univumilie, nami nitakulipa deni lako lote.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 “Yule mtumishi akampigia magoti, akamsihi yule bwana akisema, ‘Naomba univumilie, nami nitakulipa deni lako lote.’

Tazama sura Nakili

Mathayo 18:26
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi mjoli wake akaanguka miguuni pake, akamsihi, akinena, Niwie kwa saburi, nami nitakulipa vyote pia.

Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mama yake, wakaanguka wakasujudu; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tumi, dhahabu, uvumba, na manemane.

Akaja mwenye ukoma akamsujudu, akinena, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.

Simon akajibu akasema, Nadhani ni yule aliyesamehewa nae mengi. Akamwambia, Umehukumu haki.

Kwa maana, wakiwa hawajui haki ya Mungu, na wakitaka kuithubutisha haki yao wenyewe, hawakujitia chini ya haki ya Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo