Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 18:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Na asipokuwa na kitu cha kulipa, bwana wake akaamuru auzwe, yeye na mkewe na watoto wake, na vitu vyote alivyo navyo, ikalipwe ile deni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Mtu huyo hakuwa na chochote cha kulipa; hivyo bwana wake aliamuru auzwe, yeye, mke wake, watoto wake na vitu vyote alivyokuwa navyo, ili deni lilipwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Mtu huyo hakuwa na chochote cha kulipa; hivyo bwana wake aliamuru auzwe, yeye, mke wake, watoto wake na vitu vyote alivyokuwa navyo, ili deni lilipwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Mtu huyo hakuwa na chochote cha kulipa; hivyo bwana wake aliamuru auzwe, yeye, mke wake, watoto wake na vitu vyote alivyokuwa navyo, ili deni lilipwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kwa kuwa alikuwa hawezi kulipa deni hilo, bwana wake akaamuru kwamba auzwe, yeye, mkewe, watoto wake na vyote alivyokuwa navyo, ili lile deni lipate kulipwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kwa kuwa alikuwa hawezi kulipa deni hilo, bwana wake akaamuru kwamba auzwe, yeye, mkewe, watoto wake na vyote alivyokuwa navyo, ili lile deni lipate kulipwa.

Tazama sura Nakili

Mathayo 18:25
9 Marejeleo ya Msalaba  

Alipoanza kuifanya, akaletewa mtu mmoja awiwae nae talanta elfu kumi.

Nao wakiwa hawana kitu cha kulipa, akawasamehe wote wawili. Bassi, sema, Katika hawo ni nani atakaempenda zaidi?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo