Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 18:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Alipoanza kuifanya, akaletewa mtu mmoja awiwae nae talanta elfu kumi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Ukaguzi ulipoanza, akaletewa mtu mmoja aliyekuwa na deni la fedha talanta 10,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Ukaguzi ulipoanza, akaletewa mtu mmoja aliyekuwa na deni la fedha talanta 10,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Ukaguzi ulipoanza, akaletewa mtu mmoja aliyekuwa na deni la fedha talanta 10,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta elfu kumi aliletwa kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Alipoanza kufanya hesabu zake, mtu mmoja aliyekuwa anadaiwa talanta 10,000, aliletwa kwake.

Tazama sura Nakili




Mathayo 18:24
17 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu hii ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyetaka kufanya hesabu na watumisbi wake.


Na asipokuwa na kitu cha kulipa, bwana wake akaamuru auzwe, yeye na mkewe na watoto wake, na vitu vyote alivyo navyo, ikalipwe ile deni.


Akampa mmoja talanta tano, na mmoja talanta mbili, na mmoja talanta moja; killa mtu kwa kadri ya uwezo wake; marra akasafiri.


Bassi yule aliyepokea talanta tano akashika njia, akafanya kazi nazo, akachuma talanta nyingine tano.


Akaja yule aliyepokea talanta tano, akaleta talanta nyingine tano, akinena, Bwana, uliweka kwangu talanta tano: tazama, talanta nyingine tano zaidi nilizopatafaida.


Akaja na yule aliyepokea talanta mbili, akasema, Bwana, uliweka kwangu talanta mbili: tazama, talanta nyingine mbili nilizopata faida.


Akaja na yule aliyepokea talanta moja, akasema, Bwana, nalitambua ya kuwa wewe u mtu mgumu, wavuna usipopanda, wakusanya usipotawanya:


Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara katika Siloam, ukawaangamiza, mwadhani ya kuwa walikuwa wakosaji kuliko watu wote wakaao Yerusalemi?


Bassi akawaita wadeni wa bwana wake killa mmoja, akamwambia wa kwanza, Wawiwani na bwana wangu?


Akiisha, akamwambia mwingine, Na wewe wawiwani? Akasema, Mikanda mia ya nganu. Akamwambia, Twaa khati yako, andika themanini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo