Mathayo 18:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192122 Yesu akamwumbia, Sikuambii hatta marra saba, bali hatta marra sabaini fi saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Yesu akamjibu, “Sisemi mara saba tu, bali sabini mara saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Yesu akamjibu, “Sisemi mara saba tu, bali sabini mara saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Yesu akamjibu, “Sisemi mara saba tu, bali sabini mara saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Isa akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Isa akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. Tazama sura |