Mathayo 18:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Kiisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu akinitenda dhambi nimsamehe marra ngapi? hatta marra saba? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Kisha Petro akamwendea Yesu, akamwuliza, “Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Kisha Petro akamwendea Yesu, akamwuliza, “Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Kisha Petro akamwendea Yesu, akamwuliza, “Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kisha Petro akamwendea Isa na kumuuliza, “Bwana, ni mara ngapi nimsamehe ndugu yangu akinikosea? Hadi mara saba?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Ndipo Petro akamjia Isa na kumuuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Je, hata mara saba?” Tazama sura |