Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 18:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Na asipowasikiliza wao, liambie kanisa: na asipolisikiliza kanisa pia, na awe sawasawa na mtu wa Mataifa na mtoza ushuru.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Asipowasikia hao, liambie kanisa. Na kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua Mungu na watozaushuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Asipowasikia hao, liambie kanisa. Na kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua Mungu na watozaushuru.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Asipowasikia hao, liambie kanisa. Na kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua Mungu na watozaushuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Akikataa kuwasikiliza hao, waambieni kundi lenu la waumini. Naye akikataa hata kuwasikiliza kundi la waumini, basi awe kwenu kama mtu asiyeamini au mtoza ushuru.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kama akikataa kuwasikiliza hao, ambieni kundi lenu la waumini. Naye kama akikataa hata kulisikiliza kundi la waumini, basi awe kwenu kama mtu asiyeamini au mtoza ushuru.

Tazama sura Nakili




Mathayo 18:17
27 Marejeleo ya Msalaba  

Filipo, na Bartolomayo, na Tomaso, na Mattayo mtoza ushuru; Yakobo wa Alfayo, na Lebbayo, aliyekwitwa Thaddayo;


Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakanena, Mlafi huyu, na mnywa mvinyo, rafiki wa watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imepewa haki na watoto wake.


Maana mkiwapenda wanaowapendani, mwapata thawabu gani? Hatta watoza ushuru, je, nao hawafanyi yayo hayo?


Mkiwa katika kusali, msipayukepayuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi.


BASSI watoza ushuru wote na wenye dhambi walikuwa wakimkaribia kumsikiliza.


Yule Farisayo akasimama, akasali hivi kwa nafsi yake, Mungu, nakushukuru kwa sababu mimi si kama watu wengine, wanyangʼanyi, wazinzi, waia kama na huyu mtoza ushuru.


Naliwaandikieni katika waraka wangu, kwamba msichangamane na wazinzi.


JE! mtu wa kwenu akiwa na neno juu ya mwenzake athubutu kuhukumiwa mbele ya wasio haki wala si mbele ya watakatifu?


Twawaagizeni, ndugu, katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, jitengeni nafsi zenu na killa ndugu aendae bila utaratibu, wala si kwa kufuata mapokeo mliyoyapokea kwetu.


na majadiliano ya watu walioharibiwa akili zao, walioikosa kweli, wakidhani ya kuwa utawa ni njia ya kupata faida; ujitenge na watu kama hao,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo