Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 18:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 La, hakusikia, chukua pamoja nawe tena mtu mmoja au wawili, illi kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu killa neno lithubutike.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili pamoja nawe, ili kwa mawaidha ya mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili pamoja nawe, ili kwa mawaidha ya mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili pamoja nawe, ili kwa mawaidha ya mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Lakini asipokusikiliza, nenda na mtu mwingine mmoja au wawili ili kila neno ‘lithibitishwe kwa ushahidi wa mashahidi wawili au watatu’.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Lakini kama hatakusikiliza, nenda na mtu mwingine mmoja au wawili ili kila neno lithibitishwe kwa ushahidi wa mashahidi wawili au watatu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 18:16
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na tena katika sharia yenu imeandikwa, Ushuhuda wa watu wawili ni kweli.


HII ndio marra ya tatu ya mimi kuja kwenu. Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu killa neno litathubutishwa.


Usikubali mashitaka juu ya mzee, illa kwa vinywa vyao mashahidi wawili au watatu.


Mtu aliyeidharau sharia ya Musa, alikufa pasipo huruma, kwa neno la mashahidi wawili au watatu.


Nami nitawarukhusu mashahidi wangu wawili, nao watatoa unabii siku elfu na miateen na sittini, wamevikwa mavazi ya kigunia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo