Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 18:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Mwaonaje? mtu akiwa na kondoo mia, mmoja akampotea, je, hawaachi wale tissa na tissaini, akaenda milimani, na kumtafuta yule aliyepotea?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Mnaonaje? Mtu akiwa na kondoo 100, akimpoteza mmoja, hufanyaje? Huwaacha wale tisini na tisa mlimani, akaenda kumtafuta yule aliyepotea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Mnaonaje? Mtu akiwa na kondoo 100, akimpoteza mmoja, hufanyaje? Huwaacha wale tisini na tisa mlimani, akaenda kumtafuta yule aliyepotea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Mnaonaje? Mtu akiwa na kondoo 100, akimpoteza mmoja, hufanyaje? Huwaacha wale tisini na tisa mlimani, akaenda kumtafuta yule aliyepotea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 “Mwaonaje? Ikiwa mtu ana kondoo mia moja, na mmoja wao akapotea, je, hatawaacha wale tisini na tisa vilimani na kwenda kumtafuta huyo mmoja aliyepotea?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 “Mwaonaje? Ikiwa mtu ana kondoo mia moja, na mmoja wao akapotea, je, hatawaacha wale tisini na tisa vilimani na kwenda kumtafuta huyo mmoja aliyepotea?

Tazama sura Nakili

Mathayo 18:12
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Ni mtu yupi miongoni mwenu mwenye kondoo mmoja, yule kondoo akatumbukia shimoni siku ya sabato, asiyemshika akamwondosha?

Hatta akipata kumwona, amin nawaambieni, amfurahia huyu zaidi, kuliko wale tissa na tissaini wasiopotea.

Mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na watoto wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, Mwanangu, leo enenda kufanya kazi katika shamba langu la mizabibu.

akinena, Mwaonaje katika khabari za Kristo? Yu mwana wa nani? Wakamwambia, Wa Daud.

Nasema kama nti watu wenye akili; ufikirini ninyi ninenalo.

Kwa maana mlikuwa kama kondoo wanaopotea; lakini sasa mmemrudia Mchunga na Askofu wa roho zenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo