Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 18:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 SAA ile wanafunzi wakamwendea Yesu wakinena, Ni nani bassi aliye mkuu kafika ufalme wa mbinguni?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkubwa zaidi katika ufalme wa mbinguni?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkubwa zaidi katika ufalme wa mbinguni?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkubwa zaidi katika ufalme wa mbinguni?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Wakati huo, wanafunzi wakamjia Isa na kumuuliza, “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika ufalme wa mbinguni?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Wakati huo, wanafunzi wakamjia Isa na kumuuliza, “Je, nani aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni?”

Tazama sura Nakili




Mathayo 18:1
13 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akaita kitoto, akamweka katikati yao,


Nae aliye mkubwa wenu atakuwa mtumishi wenu.


Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.


Siye killa mtu aniambiae, Bwana, Bwana, atakaeingia katika ufalme wa mbinguni; hali yeye afanyae mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.


Kwa pendo la udugu, mwe na shauku ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu;


Msitende neno lo lote kwa kushindana na kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, killa mtu na amhesabu mwenziwe kuwa hora kuliko nafsi yake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo