Mathayo 17:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Wakainua macho yao, wasione mtu illa Yesu peke yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Walipoangalia juu hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Walipoangalia juu hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Walipoangalia juu hawakumwona mtu, ila Yesu peke yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Walipoinua macho yao, hawakumwona mtu mwingine yeyote isipokuwa Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Walipoinua macho yao, hawakumwona mtu mwingine yeyote isipokuwa Isa. Tazama sura |