Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 17:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Yesu akaja, akawagusa, akasema, Ondokeni, msiogope.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Yesu akawaendea, akawagusa, akasema, “Simameni, msiogope!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Yesu akawaendea, akawagusa, akasema, “Simameni, msiogope!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Yesu akawaendea, akawagusa, akasema, “Simameni, msiogope!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Lakini Isa akaja na kuwagusa, akawaambia, “Inukeni na wala msiogope.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Lakini Isa akaja na kuwagusa, akawaambia, “Inukeni na wala msiogope.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 17:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Marra Yesu akasema nao, akinena, Jipeni moyo; ni mimi; msiogope.


Na wale wanafunzi waliposikia, wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.


Wakainua macho yao, wasione mtu illa Yesu peke yake.


Nao wakiingiwa na khofu na kuinama kifudifudi hatta inchi, wakawaambia, Kwa nini mnamtafuta aliye hayi katika wafu? Hayupo hapa, bali amefufuka.


Lakini simama, uingie mjini, utaambiwa yatakayokupasa kutenda.


Na nilipomwona nalianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kuume juu yangu, akiniambia, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo