Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 17:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Na wale wanafunzi waliposikia, wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Wanafunzi waliposikia hivyo wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Wanafunzi waliposikia hivyo wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Wanafunzi waliposikia hivyo wakaanguka kifudifudi, wakaogopa sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Wanafunzi waliposikia haya, wakaanguka kifudifudi, wakajawa na hofu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Wanafunzi waliposikia haya, wakaanguka chini kifudifudi, wakajawa na hofu.

Tazama sura Nakili




Mathayo 17:6
14 Marejeleo ya Msalaba  

Alipokuwa akisema, wingu jeupe likawatia uvuli; sauti ikatoka katika lile wingu, ikinena, Huyu ni Mwanangu, mpendwa wangu, niliyependezwa nae; msikieni yeye.


Yesu akaja, akawagusa, akasema, Ondokeni, msiogope.


Nikaanguka chini, nikasikia sauti ikiniambia, Saul, Saul, Mbona unaniudhi?


Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Saul! Saul! ya nini kunindhi? ni vigumu kwako kunpiga mateke mchokoo.


Na santi hii ndiyo tuliyoisikia tulipokuwa pamoja uae katika mlima ule mtakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo