Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 17:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Wakawatokea Musa na Eliya, wakizumgumza nae.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Mose na Elia wakawatokea, wakawa wanazungumza naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Mose na Elia wakawatokea, wakawa wanazungumza naye.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Mose na Elia wakawatokea, wakawa wanazungumza naye.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Ghafula wakawatokea mbele yao Musa na Ilya, wakizungumza na Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Ghafula wakawatokea mbele yao Musa na Ilya, wakizungumza na Isa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 17:3
22 Marejeleo ya Msalaba  

akageuka sura yake mbele yao: uso wake ukangʼaa kama jua, mavazi yake yakawa meupe kama nuru.


Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka tutafanya hapa vibanda vitatu, kimoja chako wewe, na kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya.


Wakatokewa na Eliya pamoja na Musa, nao walikuwa wakisemezana na Yesu.


Nae atatangulia mbele ya uso wake, mwenye roho ya Eliya, na nguvu zake, kuigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na kuwageuza maasi waelekee akili zao wenye haki; illi kumfanyia tayari Bwana watu waliotengenezwa.


Torati na manabii zilikuwako mpaka Yohana. Tangu wakati ule, khabari njema ya ufalme wa Mungu inakhubiriwa, na killa mtu anauingia kwa nguvu.


Akaanza toka Musa na manabii, akawafasiria katika maandiko yote mambo yaliyomkhusu yeye.


Akawaambia, Haya ndiyo maneno yangu niliyowaambieni, nilipokuwa kwenu, ya kuwa hayana buddi kutimizwa yote niliyoandikiwa katika torati ya Musa, na katika manabii, na katika zaburi.


Ikawa hawo walipokuwa wakijitenga nae, Petro akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa: na tufanye vibanda vitatu, kimoja chako wewe, kimoja cha Musa, kimoja cha Eliya: nae hajui asemalo.


Kwa kuwa torati ilitolewa kwa mkono wa Musa, neema na kweli zilikuwa kwa mkono wa Yesu Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo