Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 17:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Petro akamwambia, Kwa wageni. Yesu akamwambia, Bassi, kama ni hivyo, wana ni huru.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Petro akajibu, “Kutoka kwa wageni.” Yesu akamwambia, “Haya basi, wananchi hawahusiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Petro akajibu, “Kutoka kwa wageni.” Yesu akamwambia, “Haya basi, wananchi hawahusiki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Petro akajibu, “Kutoka kwa wageni.” Yesu akamwambia, “Haya basi, wananchi hawahusiki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Petro akamjibu, “Kutoka kwa watu wengine.” Isa akamwambia, “Kwa hiyo watoto wao wamesamehewa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Petro akamjibu, “Kutoka kwa watu wengine.” Isa akamwambia, “Kwa hiyo watoto wao wamesamehewa.

Tazama sura Nakili

Mathayo 17:26
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akanena, Hutoa. Nae alipoingia nyumbani, Yesu akatangulia kumwuliza, akinena, Waonaje, Simon? Wafalme wa dunia hutwaa kodi ama ushuru kwa watu gani? kwa wana wao au kwa wageni?

Lakini tusije tukawachukiza, enenda baharini ukatumbukize ndoana, ukatwae samaki yule azukae kwanza; na ukifunua mdomo wake utaona shekeli; ichukue hiyo ukawape kwa ajili yangu na kwa ajili yako.

Yule bwana akamsifu wakili asiye haki, kwa kuwa alitenda kwa busara: kwa maana wana wa zamani hizi wana busara kuliko wana wa nuru, katika kizazi chao wenyewe.

Yesu akamwambia, Msimkataze, kwa maana yeye asiye kinyume chetu ni upande wetu.

jitengeni na ubaya wa killa namna.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo