Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 17:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Hatta walipofika Kapernaum, wale watozao nussu shekeli wakamwendea Petro, wakasema, Je! Mwalimu wenu hatoi nussu shekeli?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Walipofika Kafarnaumu watu wenye kukusanya fedha ya zaka ya hekalu walimwendea Petro, wakamwuliza, “Je, mwalimu wenu hulipa fedha ya zaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Walipofika Kafarnaumu watu wenye kukusanya fedha ya zaka ya hekalu walimwendea Petro, wakamwuliza, “Je, mwalimu wenu hulipa fedha ya zaka?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Walipofika Kafarnaumu watu wenye kukusanya fedha ya zaka ya hekalu walimwendea Petro, wakamwuliza, “Je, mwalimu wenu hulipa fedha ya zaka?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Baada ya Isa na wanafunzi wake kufika Kapernaumu, wakusanya kodi ya Hekalu wakamjia Petro na kumuuliza, “Je, Mwalimu wenu halipi kodi ya Hekalu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Baada ya Isa na wanafunzi wake kufika Kapernaumu, wakusanya kodi ya Hekalu wakamjia Petro na kumuuliza, “Je, Mwalimu wenu halipi kodi ya Hekalu?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 17:24
5 Marejeleo ya Msalaba  

Maana mkiwapenda wanaowapendani, mwapata thawabu gani? Hatta watoza ushuru, je, nao hawafanyi yayo hayo?

Wakafika Kapernaum: hatta alipokuwa nyumbani, akawauliza, Mlishindania nini njiani?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo