Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 17:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Lakini namna hii haitoki illa kwa kusali na kufunga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Pepo wa namna hii hawezi kuondolewa ila kwa sala na kufunga.”]

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Pepo wa namna hii hawezi kuondolewa ila kwa sala na kufunga.”]

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Lakini hali kama hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga.]”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Lakini hali kama hii haitoki ila kwa kuomba na kufunga.]”

Tazama sura Nakili




Mathayo 17:21
10 Marejeleo ya Msalaba  

Marra huenda, akachukua pamoja nae pepo wengine saba walio waovu kupita nafsi yake, nao huingia na kukaa humo; na mambo, ya mwisho ya mtu yule huwa mabaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kiovu.


Walipokuwa wakikaa Galilaya, Yesu akawaambia, Mwana wa Adamu karibu atatiwa mikononi mwa watu,


Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lo lote, isipokuwa kwa kusali na kufunga.


Bassi hawa walipokuwa wakimkhudumia Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Niwekeeni Barnaba na Saul kwa kazi ile niliyowaitia.


Na walipokwisha kuchagua wazee katika killa mji, na kuomba pamoja na kufunga, wakawaweka kafika mikono ya Bwana waliyemwamini.


Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, illi mpate faragha kwa kufunga na kuomba, mkajiane tena, Shetani asije akawajarihu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.


kwa kazi na kusumbuka; kwa kukesha marra nyingi; kwa njaa na kiu; kwa kufunga marra nyingi; kwa baridi na kuwa uchi.


kwa sala zote na kuomha mkisali killa wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo, mkifanya juhudi sana, na kuwaombea watakatifu wote,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo