Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 17:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Kiisha wale wanafunzi wakaniwendea Yesu kwa feragha, wakasema, Mbona sisi hatukuweza kumfukuza?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Kisha wanafunzi wakamwendea Yesu kwa faragha, wakamwuliza, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa yule pepo?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Kisha wanafunzi wakamwendea Yesu kwa faragha, wakamwuliza, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa yule pepo?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Kisha wanafunzi wakamwendea Yesu kwa faragha, wakamwuliza, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa yule pepo?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kisha wanafunzi wakamwendea Isa wakiwa peke yao, wakamuuliza, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kisha wanafunzi wakamwendea Isa wakiwa peke yao, wakamuuliza, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?”

Tazama sura Nakili

Mathayo 17:19
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamkaripia pepo, akamtoka; yule kijana akapona tangu saa ile.

Yesu akawaambia, Kwa sababu ya kutokuamini kwenu. Kwa maana, amin, nawaambieni, Mkiwa na imani kama punje ya kharadali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa hatta kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.

Alipokuwa peke yake, watu waliomzunguka, na wale thenashara wakamwuliza khabari za ule mfano.

Hatta alipoingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kwa faragha, Mbona sisi hatukuweza kumfukuza?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo