Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 17:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Nao walipoufikia mkutano, mtu akamjia, akampigia magoti, akinena,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Isa na kupiga magoti mbele yake, akasema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Isa na kupiga magoti mbele yake, akasema,

Tazama sura Nakili

Mathayo 17:14
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wakafahamu wale wanafunzi ya kuwa amesema nao khabari za Yohana Mbatizaji.

Akaja kwake mtu mwenye ukoma, akamsihi na kumpigia magoti, na kumwambia, Ukitaka, waweza kunitakasa.

Hatta alipokuwa akitoka kwenda njiani mtu mmoja akaja mbio, akampigia magoti, akamwuliza, Mwalimu mwema, nifanyeni nipate kuurithi uzima wa milele?

Hatta tulipotimiza siku zile tukaondoka tukaenda zetu, na watu wote pamoja na wake zao na watoto wao wakatusindikiza hatta nje ya mji, wakapiga magoti pwani wakaomba:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo