Mathayo 17:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Ndipo wakafahamu wale wanafunzi ya kuwa amesema nao khabari za Yohana Mbatizaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hapo hao wanafunzi wakafahamu kwamba alikuwa akiwaambia juu ya Yohane Mbatizaji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yahya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza nao habari za Yahya. Tazama sura |