Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 17:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Yesu akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, nae atatengeneza yote;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Isa akawajibu, “Ni kweli, Ilya lazima aje kwanza, naye atatengeneza mambo yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Isa akawajibu, “Ni kweli, Ilya lazima aje kwanza, naye atatengeneza mambo yote.

Tazama sura Nakili




Mathayo 17:11
7 Marejeleo ya Msalaba  

Wanafunzi wake wakamwuliza, wakinena, Mbona bassi waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza?


lakini nawaambieni, ya kwamba Eliya amekwisha kuja, wasimtambue, wakamtenda yote waliyotaka. Vivyo hivyo Mwana wa Adamu nae atateswa nao.


Bassi walipokutanika, wakamwuliza, wakisema, Bwana, wakati huu ndipo unapomrudishia Israeli ufalme wake?


ambae ilimpasa kupokewa mbinguni hatta zije zamani za kufanywa upya vitu vyote, zilizonenwa na Mungu kwa vinywa vya manabii wake tokea mwanzo wa ulimwengu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo