Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 17:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 NA baada ya siku sita Yesu akawachukua Petro, na Yakobo, na Yohana ndugu yake, akawaleta juu ya mlima mrefu peke yao;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baada ya siku sita, Yesu aliwachukua Petro, Yakobo na Yohane nduguye, akaenda nao peke yao juu ya mlima mrefu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baada ya siku sita, Yesu aliwachukua Petro, Yakobo na Yohane nduguye, akaenda nao peke yao juu ya mlima mrefu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baada ya siku sita, Yesu aliwachukua Petro, Yakobo na Yohane nduguye, akaenda nao peke yao juu ya mlima mrefu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Siku sita baada ya jambo hili, Isa akawachukua Petro, Yakobo na Yohana ndugu yake Yakobo, akawapeleka juu ya mlima mrefu peke yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Siku sita baada ya jambo hili, Isa akawachukua Petro, Yakobo na Yohana ndugu yake Yakobo, akawapeleka juu ya mlima mrefu peke yao.

Tazama sura Nakili

Mathayo 17:1
10 Marejeleo ya Msalaba  

akageuka sura yake mbele yao: uso wake ukangʼaa kama jua, mavazi yake yakawa meupe kama nuru.

Akamchukua Petro na wana wawili wa Zebedayo, akaanza kufadhaika, na kuhuzunika moyo.

Hatta alipokuwa ameketi katika mlima wa mizeituni, kuelekea hekalu, Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea wakamwuliza kwa faragha, Tuambie, haya yatakuwa lini?

Wala hakumrukhusu mtu afuatane nae, illa Petro, na Yakobo, na Yohana ndugu yake Yakobo.

Alipofika nyumbani, hakumwacha mtu aingie pamoja nae, illa Petro, na Yakobo na Yohana, na baba yake yule kijana na mama yake. Na watu wote walikuwa wakilia, wakimwombolezea.

HII ndio marra ya tatu ya mimi kuja kwenu. Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu killa neno litathubutishwa.

Maana hatukufuata hadithi zilozotungwa kwa werevu, tulipowajulislia ninyi nguvu zake Bwana wetu Yesu Kristo na kuja kwake; bali tulikuwa mashahidi wa ukuu wake.

Na santi hii ndiyo tuliyoisikia tulipokuwa pamoja uae katika mlima ule mtakatifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo