Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 16:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Hamjafahamu hado, wala hamkumbuki ile mikate mitano kwa wale elfu tano, na vikapu vingapi mlivyookota?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu 5,000? Je, mlijaza vikapu vingapi vya mabaki?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano kwa watu elfu tano, na idadi ya vikapu vilivyojaa mabaki mlivyokusanya?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Je, bado hamwelewi? Je, hamkumbuki ile mikate mitano iliyolisha watu 5,000 na idadi ya vikapu vingapi vya mabaki mlivyokusanya?

Tazama sura Nakili

Mathayo 16:9
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Hivi na ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kuwa killa kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia najis;

Hamkumbuki ya kuwa wakati nilipokuwa pamoja nanyi naliwaambieni hayo?

Mimi nawakemea wote niwapendao, na kuwarudi: bassi uwe na bidii, ukatubu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo