Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 16:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Wakabishana wao kwa wao, wakinena, Ni kwa sababu hatukuchukua mikate.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Lakini wao wakawa wanajadiliana: “Anasema hivyo kwa kuwa hatukuchukua mikate.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Lakini wao wakawa wanajadiliana: “Anasema hivyo kwa kuwa hatukuchukua mikate.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Lakini wao wakawa wanajadiliana: “Anasema hivyo kwa kuwa hatukuchukua mikate.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Wakajadiliana wao kwa wao, wakisema, “Ni kwa sababu hatukuleta mikate.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Wakajadiliana wao kwa wao, wakisema, “Ni kwa sababu hatukuleta mikate.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 16:7
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masudukayo.


Yesu akajua, akawaambia, Mbona mnabishana ninyi kwa ninyi, enyi wa imani haba, kwa sababu hamkuchukua mikate?


Ubatizo wa Yohana ulitoka wapi? Ulitoka mbinguni, au kwa wana Adamu? Wakasemezana wao kwa wao, wakinena, Tukisema, Ulitoka mbinguni; atatuambia, Mbona bassi hamkumwamini?


Wakalishika neno lile, wakiulizana wao kwa wao, Huku kufufuka katika wafu maana yake nini?


Ikawa katika kuzumgumza kwao na kuulizana, Yesu mwenyewe akakaribia, akafuatana nao.


Yakawaingia mabishano, ni nani atakaekuwa mkubwa miongoni mwao.


Petro akasema, Hasha, Bwana, kwa maana sijala kamwe kitu kilicho kichafu au najis.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo