Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 16:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Wanafunzi wake wakaenda hatta ngʼambu, wakasahau kuchukua mikate.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Wanafunzi wake walipofika ng’ambo ya bahari, walikuwa wamesahau kuchukua mikate.

Tazama sura Nakili

Mathayo 16:5
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaaga makutano, akapanda chomboni, akaenda pande za Magdala.

Kizazi kibaya na cha zina chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya nabii Yunus. Akawaacha, akaenda zake.

Yesu akawaambia, Angalieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masudukayo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo