Mathayo 16:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192122 Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akinena, Hasha, Bwana, haya hayatakupata. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: “Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: “Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: “Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea, akisema, “Haiwezekani, Bwana! Jambo hili kamwe halitakupata!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea akisema, “Haiwezekani, Bwana! Jambo hili kamwe halitakupata!” Tazama sura |