Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 16:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Akajibu, akawaambia, Kukichwa, mwanena, Kutakuwa na kianga: kwa maana uwingu ni mwekundu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Lakini Yesu akawajibu, [“Ikifika jioni nyinyi husema: ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Lakini Yesu akawajibu, [“Ikifika jioni nyinyi husema: ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Lakini Yesu akawajibu, “Ikifika jioni nyinyi husema: ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Isa akawajibu, “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Isa akawajibu, “Ifikapo jioni, mnasema, ‘Hali ya hewa itakuwa nzuri, kwa kuwa anga ni nyekundu.’

Tazama sura Nakili

Mathayo 16:2
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na assubuhi, Leo dhoruba; kwa maana uwingu ni mwekundu, na kumetanda. Enyi wanafiki, mnajua kuutamhua uso wa uwingu; hali ishara za zamani hizi hamziwezi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo