Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 16:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Wakasema, Wengine Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Wakamjibu, “Baadhi husema ni Yahya; wengine husema ni Ilya; na bado wengine husema ni Yeremia au mmoja wa manabii.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Wakamjibu, “Baadhi husema ni Yahya; wengine husema ni Ilya; na bado wengine husema ni Yeremia au mmojawapo wa manabii.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 16:14
14 Marejeleo ya Msalaba  

akawaambia watumishi wake, Huyu ndiye Yohana Mbatizaji; amefufuka katika wafu; na kwa sababu hii nguvu hizo zinatenda kazi ndani yake.


Akawaambia, Na ninyi mwaninena mimi kuwa nani?


Wanafunzi wake wakamwuliza, wakinena, Mbona bassi waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza?


SIKU zile akaondokea Yohana Mbatizaji akikhubiri katika jangwa ya Yahudi, akinena,


Wengine walinena, Huyu ni nabii au kama mmoja wa manabii.


Wakamjibu, Yohana Mbatizaji; wengine Eliya; wengine mmojawapo wa manabii.


na wengine kwamba Eliya ametokea: na wengine kwamba nabii mmoja katika wale wa kale amefufuka.


Wakamwuliza, Nini bassi? U Eliya wewe? Akanena, Mimi siye. Wewe u nabii yule? Akajibu, La.


Kukawa manungʼuniko mengi katika makutano kwa khabari zake; wengine wakisema, Yu mtu mwema; na wengine wakisema, Sivyo, bali anawadanganya makutano.


Kukawa matangukano kati yao. Bassi wakamwambia yule kipofu marra ya pili, Wewe unasema nini katika khabari zake kwa kuwa alikufumbua macho? Akasema, Yu nabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo