Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 16:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Ndipo wakafahamu ya kuwa hakuwaambia kujihadhari na chachu ya mkate, bali elimu ya Mafarisayo na Masadukayo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Hapo wanafunzi wakafahamu kwamba aliwaambia wajihadhari siyo na chachu ya mikate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Hapo wanafunzi wakafahamu kwamba aliwaambia wajihadhari siyo na chachu ya mikate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Hapo wanafunzi wakafahamu kwamba aliwaambia wajihadhari siyo na chachu ya mikate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Ndipo wakaelewa kwamba alikuwa hasemi kuhusu chachu ya kutengeneza mikate, bali kuhusu mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Ndipo wakaelewa kwamba alikuwa hasemi juu ya chachu ya kutengeneza mikate, bali juu ya mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.

Tazama sura Nakili




Mathayo 16:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Imekuwaje hamkufahamu ya kuwa si kwa sababu ya mkate naliwaambieni, jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo?


Hatta akiona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake, akawaambia, Uzao wa nyoka, nani aliyewaonya mkimbie ghadhabu ijayo?


Maana nawaambieni, Haki yenu isipozidi kuliko haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.


Kwa maana Masadukayo husema ya kwamba hakuna kiyama wala malaika na roho: bali Mafarisayo hukiri yote mawili.


Kujisifu kwenu si kuzuri. Hamjui kwamba chachu kidogo hulitia chachu donge zima?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo